Tag: wazazi
Serikali: Tunachunguza madai ya wanafunzi kufukuzwa kisa wazazi wao wanaunga mkono CHADEMA
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuchunguzwa kwa taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo ...Ummy: Tatizo la jinsi mbili linatibika, msiwafiche watoto
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye jinsi mbili bali wawapeleke hospitali ili waweze ...Wazazi wanaosambaza video za watoto mitandaoni waonywa
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amewataka wazazi kuacha mara moja tabia ya kuweka picha na video za watoto kwenye mitandao ...DC aagiza kukamatwa wazazi wa watoto ambao hawajafanya mtihani
Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Jamhuri Wiiliam ameagiza kukamatwa kwa wazazi wa wanafunzi 191 ambao hawajafanya mtihani wa kidato cha ...Wazazi wawatishia watoto kifo endapo watafaulu mtihani wa darasa la saba
Baadhi ya wazazi wilayani Makete mkoani Njombe wamedaiwa kuwatisha watoto wao wanaohitimu elimu ya msingi kufanya vibaya kwenye mitihani kwa madai kuwa ...Wazazi wawakata watoto kinyama cha ulimi ili wawahi kuongea
• Wazazi wanawakata watoto wao kinyama kilichopo chini ya ulimi ili wawahi kuongea. • Daktari wa Kinywa na Meno amesema uvumi huo ...