Tag: Waziri
Waziri atoa siku nne huduma ya Mwendokasi irejee kote
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe ametoa muda siku nne huduma ya mabasi ya mwendokasi irejee ...Waziri Ulega: Vijana wasifukuzwe kazi hovyo kwenye miradi
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza mameneja na wasimamizi wa miradi ya ujenzi nchini kuacha tabia ya kuwafukuza kazi kiholela vijana walio ...Waziri Ulega awasimamisha kazi wasimamizi wa mizani kupisha uchunguzi
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuwasimamisha kazi wasimamizi wote wa mizani waliokuwa zamu katika mizani ...Waziri Bashungwa aipa NIDA miezi miwili vitambulisho viwafikie wananchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni ...Waziri aagiza Simba iandikiwe barua viti vilivyong’olewa vilipwe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua Simba SC juu ya ...Waziri aagiza polisi kuwakamata viongozi wanaosimamia ujenzi wa kituo cha afya Geita
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameagiza Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa vijiji na Kata waliokuwa wakisimamia mradi wa ujenzi wa kituo ...







