Tag: Waziri Mkuu
Waziri Kuu: Tumedhamiria kuendelea kutatua changamoto za walimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kutatua changamoto za ...Rais amuagiza Waziri Mkuu kuongeza saa 24 za uokoaji Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo Novemba 16, ...Waziri Mkuu aagiza watumishi Kigamboni wafikishwe mahakamani kwa ubadhirifu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni na watumishi wanne wa ...Waziri Mkuu aagiza pesa kukusanywa kwa kutumia mifumo ya kielektroniki
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa masuhuli kwenye Halmashauri zote nchini waweke msisitizo wa kutumia mifumo ya kielektroniki katika makusanyo badala la ...NMB yafuturisha Dar, Waziri Mkuu azitaka Serikali za Mitaa, Taasisi zijifunze kwao
BENKI ya NMB imewafuturisha wateja wake walio kwenye Mfungo wa Mwezi Ramadhani jijini Dar es Salaam, pamoja na kutoa misaada kwa vituo ...Mkuu wa Kitengo cha Fedha Serengeti akamatwa madai ya wizi wa milioni 213
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu ...