Tag: Waziri Mkuu
NMB yafuturisha Dar, Waziri Mkuu azitaka Serikali za Mitaa, Taasisi zijifunze kwao
BENKI ya NMB imewafuturisha wateja wake walio kwenye Mfungo wa Mwezi Ramadhani jijini Dar es Salaam, pamoja na kutoa misaada kwa vituo ...Mkuu wa Kitengo cha Fedha Serengeti akamatwa madai ya wizi wa milioni 213
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu ...Waziri Mkuu wa Ethiopia kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu Tanzania
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya ...Waziri Mkuu amshukuru Rais kwa kumteua Naibu Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuiongezea nguvu Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kumteua Dkt. Dotto Biteko kuwa ...Waziri Mkuu: Tumemtoa TICTS tunamuweka DP World, hakuna geni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekanusha madai ya watu wanaodai kampuni DP World imepewa bandari bila kikomo na kueleza kuwa kampuni hiyo itapewa ...Waziri Mkuu apokea ripoti ya kamati kuhusu changamoto za wafanyabiashara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kupitia, kuchambua na kutoa mapendekezo ya kutatua changamoto za ...