Tag: Waziri Mkuu
Waziri Mkuu wa Ethiopia kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu Tanzania
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya ...Waziri Mkuu amshukuru Rais kwa kumteua Naibu Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuiongezea nguvu Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kumteua Dkt. Dotto Biteko kuwa ...Waziri Mkuu: Tumemtoa TICTS tunamuweka DP World, hakuna geni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekanusha madai ya watu wanaodai kampuni DP World imepewa bandari bila kikomo na kueleza kuwa kampuni hiyo itapewa ...Waziri Mkuu apokea ripoti ya kamati kuhusu changamoto za wafanyabiashara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kupitia, kuchambua na kutoa mapendekezo ya kutatua changamoto za ...Waziri Mkuu: Hatutadharau maoni ya wananchi kuhusu bandari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa ...SBL yakabidhiwa tuzo na Waziri Mkuu kwa uwekezaji kwenye miradi ya maji safi
Kutoa ufadhili kwa miradi ya maji kwa lengo la kuleta afueni katika maeneo yanayokabiliwa na uhaba wa maji nchini, imekuwa moja ya ...