Tag: Waziri Mkuu
Waziri Mkuu: Rais Samia anataka kuona biashara zinafanywa kwa uhuru
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema lengo la Rais Samia Suluhu Hassan ni kuona kila mfanyabiashara nchini anafanya shughuli zake kwa uhuru na ...Waziri Mkuu aiagiza TRA kusitisha kikosi kazi cha kukusanya kodi Kariakoo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusitisha mara moja utaratibu wa kikosi kazi (Task Force) kwenye makusanyo ya ...Waziri Mkuu: Tunazungumza na Denmark wasifunge ubalozi wao nchini
Serikali imesema kupitia Wizara ya Nje na viongozi wakuu, inafanya mazungumzo na nchi ya Denmark ili ofisi zao ziendelee kubaki nchini Tanzania ...Kiama kwa Askari wanaoingiza mifugo hifadhini ili wawataifishe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameielekeza Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya ufuatiliaji wa malalamiko ya wananchi kuhusu tabia ya baadhi ya wahifadhi ...Waziri Mkuu: Tumeanza kuifanyia kazi ripoti ya CAG
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali tayari imeanza kuifanyia kazi taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) baada ...CHADEMA: Waziri Mkuu awajibike kwa ripoti ya CAG
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuwajibika kwa hasara iliyojitokeza ya ubadhirifu wa fedha katika ...