Tag: Waziri Mkuu
Watu 4,060 wamefariki kwa ajali za barabarani nchini tangu mwaka 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ndani ya kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020 hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya ajali zilizotokea ...Waziri Mkuu: Msirekodi matukio na kuweka mitandaoni, pelekeeni mamlaka husika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuachana na vitendo vya kurekodi matukio ya kuzua taharuki na kuyarusha kwenye mitandao ya ...Mabehewa 36 ya SGR kuwasili nchini kuanzia Novemba 10
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili reli ya kisasa (SGR) ya ...Waziri Mkuu amwalika Rais wa CAF mechi ya Simba na Yanga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuomba Rais wa CAF, Patrice Motsepe na wanachama wa CAF kuhudhuria katika mechi ya watani wa jadi, Simba ...Majaliwa: Uwekaji alama za mipaka Pori Tengefu Loliondo umekamilika
●Vigingi 424 vyawekwa kama alama ●Barabara ya kilomita 108 yachongwa mpakani ●Kigingi Namba Moja maalum kumkumbuka askari aliyepoteza maisha. Waziri Mkuu, Kassim ...Msisikilize maneno ya watu wa pembeni, Waziri Mkuu awaambia wakazi wa Ngorongoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea mapendekezo kutoka kwa wananchi wa tarafa za Loliondo, Ngorongoro na Sale kuhusu namna bora ya kulinda uhifadhi ...