Tag: Waziri
Sababu za aliyekuwa waziri nchini Gambia kuhukumiwa miaka 20 jela
Mahakama Kuu ya Uswizi Mei 15, 2024 imemhukumu Ousman Sonko (55), Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Gambia, kifungo cha ...Waliopigwa na askari wa TANAPA wapewa milioni 5
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ametoa mkono wa pole wa shilingi milioni moja kwa kila mmoja kwa wananchi watano wa ...Mwigulu: Tanzania bado ipo uchumi wa kati
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amekanusha takwimu zilizotolewa na Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo zilizoonesha ...Bashe aeleza sababu za mchele kupanda bei
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema bei ya mchele imepanda kutokana na uhitaji mkubwa kutoka nje ya nchi na kuwasihi Watanzania kuongeza ...Majina ya watumishi watano waliosimamishwa kazi wilayani Mbulu
Waziri TAMISEMI, Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha uchunguzi kwa kuisababishia halmashauri hasara ...Serikali yatangaza mlipuko ugonjwa wa Surua. Hizi ni halmashauri zilizoathirika
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa surua katika Halmashauri saba nchini huku watu 38 wakithibitika kuwa na ugonjwa ...