Tag: Waziri
Bashe aeleza sababu za mchele kupanda bei
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema bei ya mchele imepanda kutokana na uhitaji mkubwa kutoka nje ya nchi na kuwasihi Watanzania kuongeza ...Majina ya watumishi watano waliosimamishwa kazi wilayani Mbulu
Waziri TAMISEMI, Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha uchunguzi kwa kuisababishia halmashauri hasara ...Serikali yatangaza mlipuko ugonjwa wa Surua. Hizi ni halmashauri zilizoathirika
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa surua katika Halmashauri saba nchini huku watu 38 wakithibitika kuwa na ugonjwa ...Ummy: Hakuna mgonjwa mpya Homa ya Mgunda
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema toka Julai 18, 2022 hadi asubuhi ya leo, hakuna mgonjwa mpya aliyeonesha dalili za kuwa na ...Makamba: Tanzania ina gharama nafuu zaidi ya mafuta Afrika Mashariki
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania ndio nchi inayouza mafuta kwa gharama ndogo zaidi ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika Mashariki. ...Shirika la Afya Duniani linachunguza ugonjwa ulioua watatu Lindi
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema majibu kamili ya ugonjwa ulioibuka mkoani Lindi yatapatikana, kwakuwa Tanzania ina uwezo wa kuchunguza magonjwa ambukizi ...