Tag: WHO
WHO: Idadi ya vifo Uturuki na Syria yaweza kufikia 20,000
Idadi ya watu walioripotiwa kufariki nchini Uturuki na Syria inakaribia watu 5,000, na watu 15,000 wakijeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu. ...Utafiti: Wanywaji wengi wa pombe Dar wanauzito kupitia kiasi
Utafiti wa hivi karibuni umeonesha kwamba asilimia 67.2 ya wakazi wa Dar es Salaam wana uzito kupita kiasi huku wengi wao wakiwa ...Shirika la Afya Duniani linachunguza ugonjwa ulioua watatu Lindi
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema majibu kamili ya ugonjwa ulioibuka mkoani Lindi yatapatikana, kwakuwa Tanzania ina uwezo wa kuchunguza magonjwa ambukizi ...Ugonjwa wa Homa ya Nyani kubadilishwa jina
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema linafanya kazi na wataalamu kuibua jina jipya la ugonjwa wa homa ya nyani ‘Monkeypox’ ili kuepusha ...Matokeo ya utafiti wa dawa ya Dexamethasona yaleta matumaini kutibu corona
Matokeo ya majaribio ya dawa ya dexamethasone yaliyofanyika nchini Uingereza yameonesha kuwa inaweza kuokoa maisha ya watu walio mahututi wanaougua ugonjwa wa ...