Tag: Wivu wa Mapenzi
Mwalimu ajinyonga Tanga chanzo chadaiwa wivu wa mapenzi
Mwalimu Enock Johnson Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilaya ya Muheza mkoani Tanga amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kukutwa ...Ashikiliwa kwa kudaiwa kumuua rafiki yake kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi linamshikilia Amos Mwita (17) mkazi wa Bugarika Bendera Tatu, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya ...Dereva adaiwa kumuua kondakta wake kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia dereva wa daladala, Maarifa Matala (45) mkazi wa Kimara Suka, Wilaya ya ...Mauaji watu saba Kigoma chanzo ni wivu wa mapenzi, mtuhumiwa akamatwa
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia Peter Mors, mkazi wa Mlole Kata ya Mwanga Kaskazini, kwa tuhuma za mauaji ya watu saba ...Polisi: Mauaji mengi mwaka 2020 yamesababishwa na wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi limesema kuwa kwa kiasi kikubwa mauaji ya watu yaliyotokea nchini kwa mwaka 2020 yamesababishwa na wivu wa mapenzi na ...







