Tag: Wizara ya Afya
Rais Samia aitenganisha Wizara ya Afya
Rais Samia Suluhu Hassan, ameiondoa Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya ili iweze kufanyakazi kwa ufanisi zaidi. Rais ...Majibu ya serikali kuhusu bima ya afya kwa wote
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amesema kwamba kikosi kazi maalum kinafanyia maboresho pendekezo ...Tanzania kutoa takwimu za Corona kila wiki
Serikali imesema kuwa inatakuwa inatoa takimu za maambukizi ya Virusi vya Ugonjwa wa Korona (UVIKO19) kila wiki, huku ikiwahimiza wananchi kuendelea kuchukua ...Ifahamu mikoa inayoongoza Tanzania kwa kutoa chanjo ya UVIKO19
Ikiwa ni zaidi ya miwili tangu kuzinduliwa kwa chanjo dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO19) nchini Tanzania, zaidi ya Watanzania ...Waziri Gwajima aagiza madaktari wanaopotosha kuhusu Corona wawajibishwe
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari Tanzania (MAT) kuwachukulia hatua zikiwemo ...Benki ya Dunia yataja maeneo 4 inayotaka kushirikiana na Tanzania
Benki Dunia (WB) imesema ipo tayari kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika ununuzi, usafirishaji na utoaji elimu ya UVIKO 19 kwa jamii ...