Tag: Wizara ya Afya
Muuguzi Arusha asimamishwa kazi kwa kuigiza kuchoma chanjo ya UVIKO-19
Wizara ya imeagiza kusimamishwa kazi kwa miezi mitatu Muuguzi Msajiliwa, Scholastica Kanje anayefanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, Arusha, ...Vituo 15 vitakavyotumika kutoa chanjo Dar es Salaam
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua chanjo ya COVID19 jana Julai 28, 2021 kwa yeye na viongozi wengine kuchomwa, wizara ya ...Tisa wanaopima COVID19 uwanja wa ndege wasimamishwa kazi
Watumishi tisa wa Kitengo cha upimaji wa COVID-19 kwa wasafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar ...Mita za maji za malipo ya kabla kufungwa, wateja kuhamishiana uniti za maji
Wizara ya Maji na Umwagiliaji inakusudia kuanza kufunga mita za maji za malipo ya kabla kwa ajili ya majaribio kati ya Julai ...Rais Magufuli: Hospitali ya Rufaa ya Kanda, Chato ijengwe kwa pamoja, sio kwa awamu
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufili ameiagiza Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhakikisha Hospitali ya Rufaa ya ...