Tag: Wizara
Wizara yapendekeza mikutano na upigaji kura vifanyike kwa mtandao
Wizara ya Fedha na Mipango- Zanzibar imependekeza matumizi ya teknolojia ya kisasa katika michakato ya uchaguzi ili kupunguza changamoto zinazojitokeza ikiwemo uwazi ...Maabara ya Taifa ya Jamii kupima ubora wa majibu kwa magonjwa ya binadamu
Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imeanza kuandaa sampuli kwa ajili ya kupima ubora wa majibu yanayopimwa kwa magonjwa ...Serikali yaanza majadiliano na wawekezaji wa Bandari ya Bagamoyo
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali imefufua majadiliano na wawekezaji watakaondeleza mradi wa Bandari na Kanda Maalum ...Rubi ya Tanzania inayopigwa mnada Dubai yazua utata
Wizara ya Madini imesema haina taarifa yoyote kuhusu jiwe la rubi kuonekana katika maonesho ya vito yaliyoandaliwa na Kampuni ya SJ Gold ...






