Tag: wizi
Wadaiwa kuiba gari la wagonjwa na kulifanya la watalii Mara
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuiba gari la wagonjwa (Toyota Land Cruiser) lililokuwa likitoa huduma katika ...Ashikiliwa kwa tuhuha za mauaji ya watoto watatu wa familia moja
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Doto Lubongeja mkazi wa Madundasi wilayani Mbarali, kwa tuhuma za mauaji ya watoto watatu wa ...Mama amuua kwa moto mtoto wake baada ya kuiba TZS 2,800
Polisi Kaunti ya Kisumu nchini Kenya wanamshikilia mwanamke anayejulikana kwa jina la Jacinter Akinyi (47), kwa tuhuma za kumchoma moto na kumsababishia ...Askari mgambo washikiliwa kwa tuhuma za wizi
Askari mgambo wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali, zikiwemo za raia ...Ashikiliwa kwa kutoa taarifa za uongo za wizi ili apewe malipo ya bima
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linamshikilia David Zefania Sanga (39) kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo ...Wafanyakazi wa Kenya Pipeline kwenda jela kwa wizi wa mafuta
Wafanyakazi wawili wa zamani wa Kampuni ya Kenya Pipeline (KPC) wamehukumiwa kulipa faini ya Ksh milioni 10 kila mmoja [TZS milioni 202.06] ...








