Tag: wizi
Wakamatwa kwa wizi wa mafuta ya magari yanayotumika katika ujenzi wa barabara
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kuiba mafuta ya dizeli lita 700 kutoka katika mitambo na magari ...Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu Askari aliyempiga raia virungu miguuni
Jeshi la Polisi limelaani kitendo kilichofanywa na Askari Polisi baada ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana mmoja akipigwa na ...Mtuhumiwa wa wizi afariki mikononi mwa Polisi
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu kifo cha mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Kibabu Msese ...Aliyekuwa akitumia hirizi kuwakimbia Polisi akamatwa
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema wanawashikilia watu 10 kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu akiwemo mtuhumiwa mmoja anayedaiwa ...