Tag: yakanusha
Serikali yakanusha upotoshaji kuhusu uchunguzi Saratani ya Matiti
Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala limekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa uchunguzi wa Saratani ya Matiti kwa kutumia ‘biopsia’ husababisha saratani ...Uganda yakanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya
Jeshi la Polisi nchini Uganda limekanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya wanaodaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatano katika mji mkuu Kampala. Mwanasiasa ...TRA yakanusha kutoza kodi kwa kila kitanda nyumba za wageni
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa kuwa wamiliki wa nyumba za wageni wanatozwa kodi kwa kila kitanda. Badala yake, imeeleza kuwa ...BAKWATA yakanusha taarifa ya Polisi juu ya mtuhumiwa wa ubakaji
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera limekanusha taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuwa mtuhumiwa wa ubakaji ...Polisi yakanusha Bobi Wine kupigwa risasi, yadai alijikwaa
Polisi nchini Uganda wamekanusha madai kwamba kiongozi wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, alipigwa risasi Jumanne jioni, badala yake, wamesema ...TANAPA yakanusha kujenga lami Hifadhi ya Serengeti
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema maboresho ya teknolojia yanayokusudiwa kufanywa ndani ya hifadhi hayahusishi matumizi ya lami. Taarifa hiyo ...








