Tag: yanga
Simba yapigwa faini mchezo dhidi ya Yanga
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) imeitoza faini ya TZS milioni 1 Simba SC kwa ...CRDB yasema malipo ya bingwa msimu uliopita ilipewa TFF
Benki ya CRDB, ambayo ndiyo mdhamini mkuu wa Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB, imesema malipo yote ya bingwa wa msimu ...Yanga yagoma kucheza Dabi, yasema mamlaka za soka chini zinatenda dhulma
Baada ya kesi Yanga SC kutupiliwa mbali na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Uongozi wa klabu hiyo umesema msimamo ...Yanga yasema haiko tayari kupangiwa Derby siku nyingine
Uongozi wa Yanga SC umesema mchezo uliopanga kuchezwa leo dhidi ya Simba SC saa 1:15 usiku uko pale pale na hakuna mabadiliko ...Simba, Yanga zaikosa Kagame Cup kwa mara ya kwanza
Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) 2024 yanayoshirikisha timu 12 yamefunguliwa leo nchini Tanzania bila uwepo wa ...Yanga yafungiwa kwa kushindwa kumlipa aliyekuwa mchezaji wake
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia Yanga SC kusajili wachezaji mpaka itakapomlipa mchezaji wake, Lazarus Kambole aliyeshinda kesi ya ...







