Tag: yanga
NMB, Yanga wazindua Kadi Maalum za Wanachama zenye bima za mamilioni
BENKI ya NMB na Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na MasterCard Intenational, wamezindua Kadi Maalum ya Wanachama wat imu hiyo ‘NMB, Yanga ...Yanga yapanda viwango vya ubora Afrika, Simba yaporomoka
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba ...Wachezaji wa Simba, Yanga na Singida hatarini kuzuiliwa Ngao ya Jamii
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema mpaka sasa ni Azam FC pekee iliyowasilisha vibali 10 vya wachezaji wa kigeni ambao ...Je! Ni wakati sasa CAF ifute ushindi wa goli la ugenini?
Baada ya Klabu ya Yanga kuukosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Afrika kwa kigezo cha ushindi wa goli la ugenini aliopata ...Rais Samia apandisha dau magoli ya Simba na Yanga hadi milioni 10
Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi milioni 5 hadi shilingi milioni 10 ...