Tag: yanga
Je! Ni wakati sasa CAF ifute ushindi wa goli la ugenini?
Baada ya Klabu ya Yanga kuukosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Afrika kwa kigezo cha ushindi wa goli la ugenini aliopata ...Rais Samia apandisha dau magoli ya Simba na Yanga hadi milioni 10
Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi milioni 5 hadi shilingi milioni 10 ...Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuelekea mchezo wa Simba na Yanga
Kuelekea katika mchezo wa Simba na Yanga Jumapili Aprili 16 mwaka huu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Jeshi ...Yanga yagoma, yamtaka Fei Toto aripoti kambini haraka
Klabu ya Yanga imesema imemwandikia barua mchezaji Feisal Salum ya kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavyo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama mchezaji ...Fei Toto apeleka TFF ombi kuvunja mkataba na Yanga
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Feisal Salum (Fei Toto) amefika katika ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) akiwa na ...Umri halisi wa wachezaji wote wa Simba na Yanga
Mjadala mkubwa uliibuka katika mitandao ya kijamii hivi karibuni baada ya mdau mmoja wa soka kusema wastani wa umri wa wachezaji wa ...








