Tag: yatenga
Serikali yatenga bilioni 114 ukarabati barabara za mikoa ya Kusini zilizoathiriwa na El Nino
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 114 kukarabati barabara za mikoa ya Kusini zilizoharibiwa na mvua ...Serikali yatenga bilioni 9 kukamilisha ujenzi wa vituo vya Zimamoto nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 9.93 kwa ajili ya kukamilisha miradi ya ujenzi wa vituo saba vya Jeshi ...Tazania yatenga bilioni 4 kujenga makao makuu ya Mahakama ya Afrika
Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Imani Aboud ameipongeza Serikali ya awamu ya sita kwa kupitisha bajeti ...