Tangazo la kazi Ubalozi wa Ireland

0
66

Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania umetangaza nafasi ya kazi katika nafasi ya Programme Manager – Sexual and Reproductive Health and Nutrition.

Taarifa ya ubalozi huo imeeleza kuwa ajira hiyo inaanza Desemba 2021 na mkataba ni wa miaka mitatu kukiwa na uwezekano wa kuongezewa.

Atakayepata nafasi hiyo pia ataweza kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania na wakati mwingine nje ya nchi.

Kufahamu zaidi kuhusu kazi hiyo bonyeza hapa Programme Manager – Sexual and Reproductive Health and Nutrition

Kuona nafasi nyingine za kazi serikalini, bonyeza viungio (links) hapa chini;

  1. Nafasi 84 za kazi serikali

2. Matangazo ya nafasi za kazi serikalini

Send this to a friend