Tangazo la nafasi za kazi kutoka TAMISEMI

0
38
POST MHANDISI II UJENZI (STRUCTURAL) – 146 POST
POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
APPLICATION TIMELINE: 2021-10-16 2021-10-29
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakaiwa;
ii. Kufanya ukaguzi wa barabara na madaraja mbalimbali;
iii. Kuchunguza vyanzo vya ajali barabarani;
iv. Kufuatilia utekelezaji wa Sheria na Kanuni za ujenzi wa barabara;
v.  Kutayarisha bajeti ya mwaka ya ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja;
vi. Kusimamia na kuratibu kazi za barabara na madaraja zinazotolewa na Makandarasi; na
vii. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi. 

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa  wahitimu  wa  kidato  cha  Nne/Sita  waliofuzu  mafunzo  ya  Shahada/ Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi waliojiimarisha katika Miundombinu na Uimara wa Majengo (Bachelor of Science in Civil Engeneering – Structural) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS E

Kuomba kazi hiyo bonyeza hapa

Matangazo ya nafasi za kazi 300 kutoka Serikalini

Send this to a friend