Tarehe ya Wabunge kufika Dodoma yasogezwa mbele

0
37

Bunge la Tanzania limesogeza mbele muda wa vikao vya kamati za Bunge vilivyokuwa vinatarajiwa kuanzia Januari 10 mwaka huu, na badala yake vitafanyika wakati mkutano wa sita wa Bunge ukiendelea kuanzia Februari 1, 2022.

Kufuatia uamuzi huo wahusika wote na wabunge wametaarifiwa kufika Dodoma Januari 31, 2022.

Hapa chini ni taarifa ya Bunge.

Send this to a friend