Tazama mazingira ya shule 10 bora Tanzania mwaka 2021

0
116

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne, kidato cha pili, mtihani wa maarifa na darasa la nne.

Katika matokeo ya kidato cha nne, zipo shule 10 zilizofanya vizuri zaidi ambapo Kemebos ya mkoani Kagera imeongoza.

NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne, cha pili, QT na darasa la nne

Ni wazi kwamba mazingira ya kusomea yana mchango mkubwa sana katika kuamua ufaulu wa mwanafunzi. Na hivyo ukiziangalia shule katika orodha hiyo, utaziona zote ni zenye mazingira safi, tulivu, vufaa vya kufundishi na kujifunzia, na hivyo kuwapa motisha zaidi wanafunzi kujifunza.

Hapa chini ni mazingira ya shule 10 bora Tanzania katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2021.

Kemebos, Kagera

ImageImageImageImage

St. Francis Girls’, Mbeya

ImageImageImageImage

Waja Boys’, GeitaImageImage
ImageImage
Bright Future Girls’, Dar es SalaamImageImage
Image
Bethel SABS Girls’, IringaImageImage
Maua Seminari, KilimanjaroImageImageImageImage
Feza Boys’, Dar es SalaamImage ImageImageImage
Feza Girls’, Dar es Salaam
ImageImageImage
Mzumbe, MorogoroImageImageImageImage
Precious Blood, ArushaImageImageImageImage