Tazama tahasusi (combination) mpya za kidato cha tano zitakazoanza kutumika Julai

0
67

Ofisi ya Rais- TAMISEMI imetoa fursa kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi kwa kuongeza tahasusi kutoka 16 hadi 49 na kufikia jumla ya tahasusi 65.

Hizi ni orodha ya tahasusi za kidato cha Tano zitakazotumika kuanzia mwezi Julai mwaka 2024;

Send this to a friend