TECNO KUDUMISHA UPENDO NA WATEJA WAKE

0
36

Katika kusherekea msimu huu wa sikukuu ya VALENTINES kampuni ya simu pendwa TECNO yazindua promosheni kabambe, aidha promotion hii itahusisha kwenda kupata chakula cha usiku katika hotel kubwa ya nyota tano SERENA HOTEL kwa mteja atakayenunua TECNO Spark 5pro katika msimu huu wa Valentine.

Ni vipi unaweza kupata nafasi hiyo? tembelea maduka ya TECNO jipatie TECNO spark 5pro na moja kwa moja utakua umeingia katika droo, lakini vile vile kwa upande wa online unaweza kushirika kwa kupost picha ya umpendae na kuisindikiza na ujumbe unaoashiria upendo kisha weka #letlovelead.

Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo Meneja wa Mauzo Mariam Mohamed amesemea kwamba, “promosheni hii inalenga kuimarisha upendo na wateja wetu una kuwaonyesha ni kwa namna gani tunawajali na kuwathamini lakini pia kuwafanya watambue kama wao pia ni wanafamilia wa TECNO.

Spark 5 pro ni simu yenye kioo kipana cha nch 6.6, Spark 5pro inakupa nafasi ya kuchukua picha kwa ukubwa zaidi kutoka na kuwa na wigo mpana wa kioo vilevile ina MP16 nyuma na selfie MP 8, memory kubwa GB64 +GB3 RAM na battery yenye kudumu na chaji kwa muda mrefu mAh5000.

Tembelea https://www.tecno-mobile.com/tz/home/#/

Send this to a friend