TECNO YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KATIKA USIKU WA VALENTINE

0
52


TECNO Mobile ni moja ya kampuni iliyoshiriki vyema katika kuonyesha upendo kwa wateja wake. TECNO ilizindua rasmi promosheni ya valentine (TUNAKUTHAMINI MTHAMINI) maalumu kwajili ya kujumuika na wateja wake katika usiku wa valentine.


Katika usiku wa valentine wateja wa TECNO wakiwa na wapenzi wao walipata chakula cha usiku katika Hotel ya kifahari Serena beach huku kila mualikwa akionekana kufurahia wakati huo wakimapenzi na ampendae. Usiku huo uliambatana na music laini wa live Band na vimichezo mbalimbali vyenye kuashiria upendo.

TUNAKUTHAMINI MTHAMINI ni promosheni iliyolenga zaidi wateja wa TECNO Spark 5pro walionunua katika msimu huu wa wapendanao. TECNO Spark 5pro ni simu mpya katika tokeo la TECNO Spark na sifa yake kubwa ni vile ambavyo inaweza kuchukua picha au kuangalia video kupitia kioo kipana cha nchi 6.6 na battery ya ujazo wa mAh 5000 yenye kukaa na chaji kwa muda mrefu na memory ya ukubwa wa GB3/64 ya kuhifadhia picha, video na files nyengine nyingi.

TECNO Spark 5pro bado inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania lakini pia usiache kutembelea https://www.tecno-mobile.com/tz/home/#/.

Send this to a friend