TFF: Fei Toto bado ni mchezaji wa Klabu ya Yanga

0
41

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa uamuzi kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji wa klabu ya Yanga kwa mujibu w amkataba.

“Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ilisikiliza malalamiko hayo jana ambapo pande zote (Yanga na Feisal Salum) ziliwakilishwa na wanasheria wao,” imeeleza taarifa yake.

Romeo na Juliet waishitaki Paramount kwa picha za utupu

Klabu ya Yanga iliwasilisha malalamiko mbele ya kamati hiyo ikipinga hatua ya mchezaji wao Feisal Salum kuvunja mkataba kati yao bila kuwashirikisha.

Send this to a friend