TFF yavunja mkataba na Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike

0
37

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Emmanuel Amunike wamefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba baina yao

TFF itatangaza Kocha wa muda atakaekiongoza Kikosi cha Timu ya Taifa kwa mechi za CHAN.

Makocha wa muda watatangazwa baada ya Kamati ya Dharura ya Kamati ya Utendaji (Emergency Committee) itakapokutana Julai 11,2019.

Mchakato wa kutafuta Kocha mpya umeanza mara moja.

Send this to a friend