UDOM: Balozi Kijazi ateuliwa kuziba nafasi ya Hayati Rais Mkapa

0
49

Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amemteua Balozi John Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Balozi Kijazi ni Katibu Mkuu Kiongozi.

Uteuzi huu unaanza leo tarehe 21 Agosti, 2020.

Balozi Kijazi anachukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Hayati Benjamin Mkapa.

Send this to a friend