Umri halisi wa wachezaji wote wa Simba na Yanga

0
127

Mjadala mkubwa uliibuka katika mitandao ya kijamii hivi karibuni baada ya mdau mmoja wa soka kusema wastani wa umri wa wachezaji wa Simba SC ni miaka 30, na kwamba wachezaji wengi wa klabu hiyo ni wazee.

Moja ya hoja katika mjadala huo ilikuwa ni kulinganisha umri wa wachezaji wa Simba na Yanga, lengo likiwa ni mtoa hoja kuonesha kuwa hata Yanga wapo wachezaji wenye umri mkubwa.

Chapisho hilo limeainisha orodha ya wachezaji wa vilabu hivyo viwili pamoja na umri wao halisi kwa mujibu wa nyaraka zilizowasilishwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa ajili ya mashindano ya kimataifa.

 

S/N MAJINA YA WACHEZAJI (YANGA) TAREHE YA KUZALIWA UMRI
1 ZAWADI MAUYA 26.11.1988 35
2 SALUM ABUBAKAR 26.08.1992 31
3 DJUMA SHABAN 16.03.1993 30
4 KHALID AUCHO 08.08.1993 30
5 LOMALISA JOYCE 18.06.1993 30
6 TUISILA KISINDA 20.05.1993 30
7 BERNARD MORRISON 20.05.1993 30
8 GAEL BIGIRIMANA 22.01.1993 30
9 YANICK BANGALA 12.04.1994 29
10 LAZALOUS KAMBOLE 20.01.1994 29
11 FISTON MAYELE 24.06.1994 29
12 KENNEDY MUSONDA 22.12.1994 29
13 DJIGUI DIARRA 27.02.1995 28
14 MAMADOU DOUMBIA 28.02.1995 28
15 STEPHAN AZIZ KI 06.03.1996 27
16 FARID MUSSA 21.06.1996 27
17 MUDATHIR YAHYA 06.05.1996 27
18 DICKSON AMBUNDO 09.03.1996 27
19 IBRAHIM HAMAD 12.11.1997 26
20 BAKARI MWAMNYETO 05.11.1997 26
21 JESUS MOLOKO 02.06.1997 26
22 FEISAL SALUM 11.01.1998 25
23 METACHA MNATA 25.11.1998 25
24 BRYSON DAUD 06.11.1998 25
25 ABDALLAH SHAIBU 21.10.1998 25
26 ABUTWALIB MSHERI 02.02.1999 24
27 DICKSON JOB 29.12.2000 23
28 YUSUPH ATHUMAN 28.12.2000 23
29 KIBWANA SHOMARI 01.01.2000 23
30 ERICK JOHOLA 12.06.2000 23
31 DENIS NKANE 30.09.2002 21
32 CLEMENT MZIZE 07.01.2004 19

 

Majina ya wachezaji wa Klabu ya Simba na umri wao

S/N MAJINA YA WACHEZAJI (SIMBA) TAREHE YA KUZALIWA UMRI
1 SAIDI NTIBAZONKIZA 01.05.1987 36
2 JOHN BOCCO 05.08.1989 34
3 CLATOUS CHAMA 18.08.1991 32
4 JONAS MKUDE 03.12.1992 31
5 SHOMARI KAPOMBE 28.01.1992 31
6 AUGUSTINE OKRAH 22.19.1993 30
7 JOASH ONYANGO 31.01.1993 30
8 HENOCK INONGA 25.11.1994 29
9 MOSES PHIRI 03.06.1994 29
10 KENNEDY JUMA 07.08.1994 29
11 BENNO KAKOLANYA 27.06.1994 29
12 AISHI MANURA 13.09.1995 28
13 HAMED SAWADOGO 28.02.1996 27
14 PAPE SAKHO 21.12.1996 27
15 MOHAMED HUSSEIN 01.11.1996 27
16 MZAMIRU YASSIN 03.01.1996 27
17 SADIO KANOUTE 21.10.1996 27
18 GADIEL MICHAEL 12.19.1996 27
19 NASSORO KAPAMA 15.12.1996 27
20 MOHAMED OUATTARA 28.16.1999 24
21 JIMMYSON MWANUKE 14.01.1999 24
22 ISRAEL MWENDA 10.13,2000 23
23 HABIBU KYOMBO 21.12.2000 23
24 KIBU DENIS 04.12.2000 23
25 PETER BANDA 21.12.2000 23
26 JEAN BALEKE 17.04.2001 22
27 MOHAMED MUSA 22.09.2001 22
28 AHMED FERUZI 20.02.2002 21

 

Katika orodha hii wanaweza kukosekana baadhi ya wachezaji, endapo majina yao hayakuwasilishwa CAF.

Send this to a friend