Unataka Mkwanja Mrefu Wikendi Hii Nenda Meridianbet

0
44

Ligi mbalimbali Duniani kuendelea wikendi hii huku kila timu ikihitaji kusaka pointi 3 muhimu ili kusalia kwenye ligi, wengine wakipambania Ubingwa na wengine wakipambani kusalia kwenye ligi. EPL, Bundesliga, NBC, Serie A, Laliga Ligue 1 hizo ni zile kubwa duniani lakini pia kuna zingine kutoka nchini mbalimbali zitapigwa.

Bundesliga iankuja kivingine kabisa ambapo mechi nyingi zitapigwa  Dortmund na Bayern nani kuongoza ligi wiki hii? Dortmund atakuwa nyumbani kumwalika Eintracht Frankfurt, huku Bayern ambaye ametoka kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Mainza 05. Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Bingwa mtetez akiwa na ODDS ya 1.57 wakati mwenye akiwa na ODDS ya 5.09 wewe pesa yako unaiweka wapi? Beti sasa na Mabingwa.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii hapa.

EPL ni mwendo mdundo kuelekea mwisho wa ligi kila timu inahitaji pointi tatu isonge mbele Brentford uso kwa uso dhidi ya Aston Villa nani kuibuka mbabe? Vipi ile bato ya kuwania nafasi ya nne ni Newcastle dhidi ya Tottenham Spurs nani ni nani wiki hii. Liverpool atakuwa Anfield kumenyana dhidi ya Nottingham Forest. Je Klopp ataendeleza ubabe? Suka jamvi lako hapa.

Serie A, AC Milan atakipiga dhidi ya Lecee wakati Inter yeye atavaana dhidi ya Empoli na timu hizi mbili zimefuzu hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa na ndizo zitakazo kutana. Mabingwa wa ligi hiyo Napoli watamenyana dhidi ya Juventus, unadhani hasira zao za kutolewa michuano mikubwa Ulaya zitahamia kwenye ligi? Bashiri sasa. Kwa USSD ni rahisi kushinda kwa dau dogo sana la TZS 250/= tena unabeti bure kabisa.

Haiishii hapo tu, Ile michuano ya Kombe la FA pale Uingereza itarindima wikendi hii Manchester City atamkaribisha Shieffield United nyumbani kwake huku vijana hao wa Pep Guardiola wakihitaji Kombe hili. Siku ya Jumapili Manchester United baada ya kutolewa kwenye Ligi ya Europa atamenyana dhidi ya Brighton huku nae akihitaji zaidi Kombe hili. Meridianbet wana machaguo zaidi ya 1000.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

 

 

Send this to a friend