UNATAKA ODDS KUBWA NA ZA KIBABE? NJOO MERIDIANBET WANAKUPA UKITAKACHO

0
41

 

EPL kurindima hapo kesho ambapo mechi kibao zinatarajiwa kucheza siku ya kesho na Keshokutwa ambapo kesho timu ambazo zitakuwa dimbani ni kama vile Chelsea dhidi ya Everton, Southampton dhidi ya Tottenham Spurs, pia Brentford dhidi ya Leicester City. Ingia na ucheze na Meridianbet.

 Laliga nayo itatimu vumbi wtau wakisubiri kwa hamu EL Classicco japo baadhi ya watu wanasema imekosa mvuto ni kweli?. Mimi nasema wewe njoo Meridiabet ufaidi ODDS KUBWA zinazotolewa hapa nani kuondoka na ushindi huku mechi ya mwisho Barcelona aliondoka na ubabe.

Atletico Madrid atakiwasha dhidi ya Valencia ambapo atakuwa akiwania kusaka pointi tatu ili ajimaarishe kwenye nafasi nne za juu ambapo mpaka sasa yupo nafasi ya tatu huku anayecheza naye anashikilia nafasi ya 17. Nani kuondoka na ubabe hapo kesho?

Serie A kitawaka napo ambapo vijana wa Spalletti Napoli wataalikwa na Torino huku wakiwa pointi 18 mbele kwa anayemfuata. Lakini nao pia AC Milan watakuwa ugenini dhidi ya Udinese majira ya saa 4:45 usiku . Inter na Juventus kuwania pointi tatu nani ni nani. ODDS KUBWA zipo mechi hizi hapa.

Bundesliga hapapoi ambapo RB Leipzig aliyetolewa kwenye ligi ya mwabingwa, atamenyana dhidi ya Bochum huku tofauti kati yao ikiwa ni alama 22 ambapo mwenyeji anashikilia nafasi ya 14. Naye Bayern atasafiri kusaka pointi tatu ugenini dhidi ya Leverkusen ambaye anashikilia nafasi ya 9.

Ligue 1 nayo inaendelea michezo kibao ambapo wababe wa ligi hiyo PSG watamenyana dhidi ya Rennes majira ya 1:05 usiku, wakati kwa upande wa Marseille atamkaribisha Reims majira ya 4:45 nani kuondoka na pointi tatu nyumbani au ugenini? Suka jamvi lako ukiwa na meridianbet sasa.

Send this to a friend