VODACOM YAPOKEA TUZO ZA ISACA

0
34

Mkuu wa Idara ya Mkakati wa TEHAMA na Uhandisi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC, Cleopatra Mukangara (kushoto), akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Ukaguzi na Udhibiti wa Mifumo ya Taarifa (ISACA), Abdulrahman Hussein (kulia) kwa Kujitolea na Kuchangia Ukuaji wa ISACA Tanzania Chapter (Usalama wa Mtandao, Ukaguzi na Hatari) mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Tuzo hii inatambua juhudi za kampuni ya Vodacom katika kukuza uvumbuzi na ubora katika sekta ya teknolojia. Wafanyakazi wengine watatu wa kampuni hiyo pia walipewa tuzo kwa kuthamini mchango wao katika Sekta ya TEHAMA.

Send this to a friend