Vuta Mkwanja Meridianbet Odds kubwa UCL

0
54

Wiki ya mabingwa uliyoisubiri kwa hamu hatimaye imewadia, “The wait it’s over!” Mbivu na mbichi kujulikana, lazima itafahamika na kujulikana ni timu gani itafuzu hatua ya robo fainali ya UCL, ni mechi za marudiano zikikwa zimepewa Odds kubwa Meridianbet, wakali wa kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Poker, Aviator na Roulette. 

ODDS kubwa Jumanne ya Kibabe

 

Chelsea atakuwa nyumbani katika dimba lao la utawala wa rangi za buluu, pale darajani wakati huu Borussia Dortmund wana faida ya goli moja ambalo walishinda kwenye mechi ya raundi ya kwanza. Meridianbet imezidisha ODDS kubwa pia Kasino ya mtandaoni inakupa sloti bomba iliyojaa shangwe kwenye Poker, Aviator, Roulette.

Meridianbet kwa kutambua ukubwa wa mechi hii wameamua kumwaga Odds kubwa, mwenyeji Chelsea ukichagua ashinde ana 1.91 na Dortmund ana 3.87 wakati huo kama ukiona mechi hii itamalizika kwa sare ina 3.57, unasubiri nini kuweka ubashiri wako na Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni, sloti pendwa yenye michezo kama Aviator, Poker na Roulette.

Benfica wana rekodi nzuri sana kwenye dimba lake la nyumbani, rekodi zinaonesha kwamba hajapoteza hata mchezo mmoja kwenye mechi 20 alizocheza lakini pia Club Brugge atakuwa na mlimani wa kuupanda kwani mchezo wa kwanza alipoteza kwake mabao 2-0, ili afuzu hatua inayofuata anatakiwa ashinde magoli kuanzia 3-0 na kuendelea. Kama sio mpenzi wa kubashiri soka unaweza kucheza kasino ya mtandaoni, ina sloti bomba kama Aviator, Poker na Roulette.

 

Jumatano yenye Shangwe!!

 

Bayern vs PSG| Tottenham vs AC Milan

 Moja kati ya mechi inayosubiriwa na wengi ni kati ya Bayern Munich akiwa katika dimba lake la Allianz Arena, atawakaribisha wababe kutoka jiji la raha na bata Paris Saint-Germain. Mchezo uliopita PSG alilala kwake bao 1-0, timu hizi zimekutana mara 7 na Bayern kushinda mara 5, PSG mara 2 hakuna sare. Bashiri na Meridianbet upate ODDS kubwa pia kuna kasino ya mtandaoni yenye sloti nzuri na rahisi kushinda, mchongo ni Aviator, Poker na Roulette.

Huenda ukadhani imeisha, lakini nakwambia bado mechi ni mbichi pale kwenye dimba la Tottenham Hotspurs, mechi ya kwanza Tottenhm alikufa kwa bao 1-0, rekodi zinaonesha timu hizi zimekutana mara 5, Spurs kashinda mara 3, Milan mara 1 na sare 1. Odds kubwa Spurs 2.01 vs 3.67 ushindi kwa kila timu. Mechi hii unahisi itaishaje? Majibu yako yaweke Meridianbet wakali wa Odds kubwa na Kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette. MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE.

Send this to a friend