Wabunge Kenya wataka kulipwa pensheni TZS 2 milioni kwa mwezi

0
56

Wabunge nchini Kenya wamepitisha muswada wa sheria unaopendekeza wabunge 375 kulipwa pensheni ya mwezi, TZS 2.2 milioni.

Muswada huo unapendekeza kuwa wabunge hao waliohudumu kati ya mwaka 1984 hadi 2001 walipwe kiasi hicho ikiwa ni ongezeko la kutoka TZS 767,250 wanayolipwa sasa.

Aidha, Bodi ya mishahara nchini Kenya imepinga mpango huo na kueleza kuwa hilo likifanyika wafanyakazi wengine wa ofisi za Umma watataka mishahara yao iongezwe.

Send this to a friend