Wafalme wa Kubeti wanapatikana Meridianbet Pekee.

0
39

Wafalme wengine wa Kubeti wapatikana Meridianbet, ambapo Meridianbet inajivunia na kuwatangaza wafalme hawa wawili ambao wote walipatikana jana, wote wakiweka dau dogo na kupata ODDS KUBWA kutoka kwenye kampuni hiyo na kuwawezesha kupata ufalme wa kubeti. Meridianbet inakupa machaguo mengi huku ikikupa odds nyingi.  Piga *149*10#  Chagua Tukupe  Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette– Chagua Tukupe.

Mshindi wa kwanza yeye aliweka mkeka mrefu wa takribani wiki moja unaojumuisha timu 19 kwa dau la shilingi 1597 na kushinda Milioni 54, 50008 huku akipita karibu kila Ligi kubwa Ulaya na kuchagua timu zake za uhakika.

Mshindi huyu yeye kwenye mkeka wake aliweka machaguo mawili pekee, ambapo timu 18 aliweka ushindi wa kawaida, na timu moja pekee ndio aliweka chaguo la GG (Timu zote zifungane)

Ligi ya Ufaransa alibeti timu 8 ikiwemo Olmpique Marseille, Monaco, Rennes, PSG, Lille, na zingine, wakati kwa upande wa Ligi ya Italy Serie A aliruka na Wababe wa ligi hiyo Juventus, akapita na Roma ya Mourinho, AC Milan na Spezia. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Hakuishia hapo tu, alienda mpaka Uturuki ambapo kumetokea Tetemeko la Ardhi akachagua timu zake tatu, Besiktas, Trabzonspor, MKE Ankaragucu lakini timu hizo ziliahirishwa kutokana na janga hilo lililotokea nchini humo.

Na mechi hizo alibeti kuanzia tarehe 7 ambapo alibeti mechi 3, tarehe 10 mechi 2, tarehe 12 mechi 4, tarehe 14 mechi 1, tarehe 18 mechi 1, akamaliza na mechi za jana tarehe 19 mechi 6, na jumla kukamilisha idadi ya mechi 19.

Haikushia hapo tu, jana hiyo hiyo akaibuka Bingwa mwingine ambaye yeye alitimiza ndoto zake za kukusanya mkwanja mrefu kabisa kwa 500 tu akapiga Milioni saba, laki moja elfu ishirini na moja na mia sita hamsini na sita (7, 121, 656).

Unajua mshindi huyu anatokea wapi? basi ni pale Ilala mtaa wa Karume ambaye mshindi huyu yeye alienda kubeti katika duka mojawapo la Meridianbet MAX 80 na akachagua mechi 10 zenye jumla ya ODDS 15, 825. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Mshindi huyu yeye hakutaka kusubri wiki kuwa Bingwa alibeti mechi za jana pekee kwa kuchanganya machaguo kama inavyojulikana Meridianbet ndio kampuni inayotoa machaguo zaidi ya 1000 sasa unataka uende wapi kama sio kubashiri na Meridianbet?

Ligi ya Uingereza aliweka mechi mbili ambapo ya kwanza ni ya Manchester United dhidi ya Leicester City ambayo alimpa United ashinde, Spurs alimpa nafasi mbili ashindi au apate sare na mabao yaanzie moja mpaka mawili,

Ligi ya Italy aliweka mechi tatu, Ligi ya Hispania mechi mbili, Ujerumani moja Bulgaria moja na Uholanzi moja. Mechi hizo pia aliweka machaguo ya magoli na kuzuia magoli, Mechi hizo ni kama Atletico Madrid, Barcelona, AS Roma, Ajax, Slavia Sofia na mechi nyingine. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Huenda na wewe ikawa ni zamu yako kujikusanyia Mamilioni ukiwa na Meridianbet ambapo kuna ligi mbalimbali leo hii lakini kesho na keshokutwa kuna Ligi ya Mabingwa Ulaya pale Napoli, huku Frankfurt, Madrid je Vipi naye Liverpool? Endelea kubashiri michezo mbalimbali pia kuna Kasino ya mtandaoni na tembelea ucheze Aviator, Poker, Roulette, na mingineyo.

Usiwaze kama huna Intanenti beti kwa kitochi piga *149*10# Mahali popote, wakati wowote.

MERIDIANBET, CHAGUA TUKUPE.

Send this to a friend