Washindi wa kura za maoni vs walioteuliwa na NEC

0
135

Haya ni baadhi ya majimbo ambayo washindi wa kura za maoni hawakuidhinishwa na Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) kuwa wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi;

Moshi Mjini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Priscus Tarimo

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Ibrahim Mohamed Shayo

Kigoma Mjini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Kirumbe Ng’enda

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Clayton Revocatus Chiponda (Baba Revo)

Tanga Mjini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Ummy Mwalimu

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Kassimu Amari Mbaraka

Bukoba Mjini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Johnston Mtasingwa

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Johansen Mutabingwa

Tabora Mjini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Shaaban Mrutu

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Hawa Subira Mwaifunga

Nyamagana

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Stanslaus Mabula

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: John Nzilanyingi

Tarime Mjini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Michael Kembaki

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Esther Matiko

Bunda Mjini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Robert Maboto

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Esther Bulaya

Monduli

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Fred Lowassa

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Isack Copriao

Mpanda Mjini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Beda Katani

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Haidar Hemed Sumury

Dodoma Mjini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Samuel Malecela

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Paschal Inyasa Chinyele

Igunga

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Nicholaus Ngassa

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Henry C. Kabeho

Mufindi Kaskazini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Luqman Merhab

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Exaud Kigahe

Nyang’wale

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Hussein Kassu

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Hallen Nassor Amar

Tunduru Kaskazini

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Abdukadir Issa

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Sikudhani Yassin Chikambo

Sikonge

πŸ—³οΈ Mshindi kura za maoni: Munde Tambwe

βœ… Aliyeteuliwa na NEC: Amosy William Maganga

Send this to a friend