Washindi wa Promosheni ya Bodaboda na Simu Wapatikana

0
38

Kila mmoja ni Bingwa kwenye uwanja wake! Meridianbet walitoa nafasi ya kutamba ukibashiri kwa USSD bila kutumia Intaneti, ukibeti na kitochi au Simu janja, na ndivyo walivyofanya ndugu Godson Alex wa Chalinze-Ubena Nzomonzi na Denice wa Shinyanga Mjini.

Ile promosheni iliyokuwa ikifanyika pale nyumba ya Mabingwa wa kubashiri Tanzania na Afrika Mashariki, Meridianbet hatimaye jana tarehe Oktoba 31 ilitamatika na washindi walipatikana wakitokea maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Mshindi wa Bodaboda mpyaa alikuwa ni Godson Alex akitokea Chalinze, ni mfanyabiashara mdogo anayeuza vinywaji baridi. Mteja makini wa USSD, ambaye alibashiri bila intaneti kwa kupiga *149*10# alikuwa makini kujua historia za timu zinazocheza na kujiachia na machaguo mengi yaliyopo Meridianbet pekee.

Godson alifanikiwa kuzungumza na meridianbet kuhusu njia za ushindi wake na wapi alipata taarifa kuhusu promosheni hiyo. Baada ya kusikia taarifa ya kupitia kwa Rafiki yake kuwa Meridianbet wanatoa Bodaboda ukibashiri na kitochi, ndipo akaamua kujaribu zali lake, anasema hajaamini macho yake alipopigiwa simu kutoka Meridianbet kuwa kajishinidia chombo kipyaa.

“Najiskia furaha sana kushinda zawadi hii, mwanzo nilikuwa siamini lakini sasa naamini baada ya ushindi huu. Nilifahamu kuhusu Meridianbet kupitia kwa Rafiki yangu baada ya kunielezea kuhusu ofa mbalimbali ambazo kampuni hii wanatoa.

“Bodaboda hii itanisaidia sana katika biashara zangu, kuchukua mizugo kwaajili ya duka langu. Mwanzo nilikua natumia bodaboda za kukodi kwaajili ya kuagiza mzigo wa vinywaji lakini sasa nitapunguza gharama ya usafiri.

”Ambao hawaamini mimi nipo kwaajili ya kudhibitisha hilo nitakuwa balozi namba moja wa Meridianbet nikirudi Chalinze nitawaonyesha zawadi yangu ya bodaboda.

Haikuwa kwa bahati mbaya, bali ilikuwa ni bahati yake kijana anayejishughulisha na kuuza matunda maeneo ya Shy Town, sio mwingine ni Denice amejishindia Smart Phone mpyaa aina ya Samsung A32 kutoka Meridianbet, baada ya kufanyiwa mahojiano na Meridianbet alisema kuwa alipata taarifa kwenye TV na alibashiri kupitia kitochi kwa USSD code *149*10# ndipo akajishindia Simu kalii.

“Siamini kama nimekuwa mshindi, sikutegemea kama Meridianbet watanipigia simu kunipa habari hizi, nilibashiri machaguo ya ushindi wa moja kwa moja na magoli katika tiketi yangu kwenye mechi tano kwa dau la TZS 250/=”

Tunakukumbusha pia kuwa Meridianbet wanaendesha promosheni ya kushinda bajaji mpyaa kwa kubashiri bila intaneti. Mteja anatakiwa kushinda tiketi ndani ya siku nne mfululizo kila tiketi ikiwa na mechi 5 au zaidi na odds ya kuanzia 1.7 kwa kila mechi. Bashiri kwa kitochi  Piga *149*10# Chagua meridianbet sasa!

Meridianbet imefanikuwa kupata mabingwa wa ubashiri kwa USSD, ambao wamejishindia Simu mpya aina ya Samsung A32 na Bodaboda mpya baada ya kufanya ubashiri wao. Ungefurahi kujua kuhusu ubashiri wao?

#meridianbet #meridianbettz #bet #win #sports #samsung #samsungA32 #winbodaboda #shindabodaboda #shindabajaji #betinakitochi.

 

Send this to a friend