Wasifu wa Prof. Honest Ngowi aliyefariki dunia

0
46

Wanazuoni  na Watanzania kwa ujumla wameianza wiki hii kwa habari mbaya kufuatia kifo cha Prof. Honest Ngowi kilichotokea mkoani Pwani.

Prof. Ngowi ambaye alikuwa njiani kuelekea mkoani Dar es Salaaam amefariki dunia baada ya gari lao kuangukiwa na kontena eneo la Mlandizi.

Hapa chini ni wasifu wa mwanauchumi huyo ambaye alikuwa mtumishi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe.

[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/CV-Prosper-Ngowi.pdf”]

Taarifa zaidi kuhusu machapisho yake tembelea;

Google Scholar

ResearchGate

Linkedin

Send this to a friend