Wezi saba wa ng’ombe wazikwa wakiwa hai

0
37

Polisi nchini Msumbiji wamewakamata watu tisa wanaodaiwa kuwatesa na kuwazika wakiwa hai washukiwa saba wa wizi wa ng’ombe katika Wilaya ya Manhica nchini Msumbiji.

Jeshi la Polisi nchini humo limethibitisha vifo na kukamatwa kwa watu hao.

Aidha, wamesema timu ya maafisa wa Serikali ilitembelea eneo hilo kwa ajili ya kufukua miili hiyo.

Wanawake waonywa tabia ya kuazimana mawigi

Mwishoni mwa wiki iliyopita, baadhi ya ndugu na jamaa wa waathirika walikwenda kuchukua miili ya jamaa zao.

Send this to a friend