Wikiendi Hii Meridianbet Wanaota Odds Kubwa

0
51

Kabla ya UCL kurejea wiki ijayo, Anza na mechi hizi kubwa wikiendi hii kwenye mkeka wako wa Meridianbet, ni EPL, Serie A, Ligue 1, Bunasliga na Laliga bila kusahau kombe la dunia la vilabu-FIFA ni Madrid vs Al Hilal. Odds kubwa kwa kila mechi unazipata Meridianbet pekee.

 

 Mechi za Jumamosi 11/2023

 Graham Potter ana wakati mgumu kuirejesha Chelsea kwenye makali yake, dirisha dogo wamefanya usajili wa wachezaji wengi na sasa watakutana na West Ham ambapo vijana wa Potter watakuwa ugenini. Odds bomba za mechi hii unazipata hapa.

Vinara wa EPL washika mtutu hawa watakuwa kwenye dimba la Emirates kucheza na Brentford, Arsenal ataingia na machungu ya kupoteza mchezo uliopita dhidi Everton Je atapoteza tena au ataendeleza ubabe wake? Brentford ana Odds kubwa ya 7.05 dhidi ya 1.42 ya Arsenal. Wolves atakuwa ugenini kukipiga na Southampton, Leicester City atakiwasha na Tottenham.

Ujerumani husifika kwa kazi zao na ubabe hata ligi yao inasifika kwa aina yao ya uchezaji wa kutumia nguvu sana, Bayern Munich atakipiga na Bochum kwenye dimba na Allianz Arena, wakati ukiuchagua mchezo huu kubetia Dortmund atakuwa ugenini dhidi ya Bremen, Hoffein atakipiga na Leverkusen mechi zote hizi zina Odds kubwa, na uanweza kubashiri mubashara au kwenye duka la kubashiri utengeneze beti yako.

Ile fainali ya Kombe la dunia la vilabu itapigwa Real Madrid atacheza na Al Hilal ya Saudi Arabia, wakati  huo mechi ya mshindi wa tatu itawakutanisha Al Ahly atakipiga na Flamengo  kutoka Brazil. Tazama Odds bomba na kubwa kutoka Meridianbet hapa.

Monaco atakuwa na kibarua cha kuwazuia PSG kuchukua pointi 3 kwenye dimba lao la nyumbani, Clermont atamkaribisha Marseille na kwenye ligi ya La Liga Sevilla atacheza na Mallorca, Valencia na Athletic Bilbao. Meridianbet ni wakali wa ODDS kubwa tengeneza mkeka wako bila wasiwasi machaguo kibao unayapata.

Mechi za Jumapili 12/2023

 Baada ya kuwalazimisha sare ya 2-2 Manchester United, watakutana tena kwenye mchezo wa EPL wakati huu United atakuwa ugenini. ODDS zao ni 3.67 na United ana 1.91. Unaziaje hizi zikupite Bashiri sasa na Meridianbet. Manchester City atakuwa kwenye dimba la Etihad kucheza na Aston Villa, unaweza kubetia hata idadi ya magoli yaweje na kuna machaguo mengine Zaidi ya 1000+ Meridianbet

 Juventus atamkaribisha Fiorentina katika mchezo wa raundi ya 22 wa Serie A. Huku Napoli vinara wa Ligi atakuwa anacheza na Cremonese na kwingine ni Lyon kucheza na Lens, hizi mechi zote zinaweza kuifanya wikiendi yako kuwa njema kabisa.

Send this to a friend