Yanga yapanda viwango vya ubora Afrika, Simba yaporomoka

0
78

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania Yanga SC imeshika nafasi ya nne kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60.

Aidha, Simba SC imeshika nafasi ya 13 Afrika, na nafasi ya 154 duniani kutoka nafasi ya 148.

Hizi ni nafasi 10 bora Afrika kwa mujibu wa IFFHS;

1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga SC
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance

Send this to a friend