Zifahamu simu za Android zenye bei nafuu na ufanisi wa processor za bei rahisi lakini zina ubora mzuri

0
79

𝗭𝗶𝗻𝗮𝘁𝗼𝗳𝗮𝘂𝘁𝗶𝗮𝗻𝗮 𝘃𝗶𝗽𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝘃𝗶𝗽𝗲𝗻𝗴𝗲𝗹𝗲 𝗵𝗶𝘃𝗶?

𝘒𝘪𝘶𝘧𝘢𝘯𝘪𝘴𝘪 𝘸𝘢 𝘊𝘗𝘜:

Helio G85 ya Infinix ina CPU performance kubwa zaidi (+64%) zaidi ya chip ya Exynos 850 ya Galaxy A13. Katika GeekBench 5 Helio g85 ina score 630 (+124%) na Exynos 850 ina score 161. Infinix HOT 12 inauwezo mkubwa zaidi wa kufanya multi-task na kutumia apps nyingi kwa pamoja.

𝘜𝘧𝘢𝘯𝘪𝘴𝘪 𝘸𝘢 𝘎𝘢𝘮𝘦𝘴 (𝘎𝘗𝘜):

Chip ya Infinix HOT 12 ina GPU frequency kubwa inayoizidi Galaxy A13 kwa asilimia 22%. Kwa kupima na OpenCL/Vulcan Exynos ya Galaxy A13 ina score 8 lakini Helio G85 ya Infinix Hot 12 ina score 17. Infinix Hot 13 inafaa kucheza PUBG, Call of Duty, Fortnite, Shadowgun Legends, World of Tanks, kwa frame 45 kwa sekunde na kuendelea.

 

𝘒𝘶𝘥𝘶𝘮𝘶 𝘬𝘸𝘢 𝘤𝘩𝘢𝘫𝘪

Chip ya Exynos 850 inatumia charge kidogo hivyo inadumu na chaji ukilinganisha na Mediatek G85 c kama HOT 12. Uzuri wa Infinix inacharge faster kwa 18W.

 

Upatikanaji: 𝗜𝗻𝗳𝗶𝗻𝗶𝘅 𝗛𝗢𝗧 𝟭𝟮 𝗩𝘀 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝗔𝟭𝟯

 

◉ 𝗕𝗲𝗶: Infinix HOT 12 inapatikana madukani kwa bei ya sh.400,000 hadi sh.380,000 na Samsung A13 inapatikana kwa bei ya sh.450,000 hadi sh.430,000.

◉ 𝗖𝗵𝗶𝗽: HOT 12 inatumia Chipset ya Mediatek MT6769ZZ Helio G85 na A13 inatumia Chipset ya Exynos 850.

Chipset ya Infinix HOT 12 ni bora zaidi katika CPU na GPU; pia yake ni fair sana.

Tupigie 0712602970 kwa msaada zaidi

 

Send this to a friend