Zisome hoja 5 zilizotolewa katika Azimio la Bunge kumpongeza Spika Ndugai

0
41

Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga (CCM), leo amewasilisha bungeni Azimio la Bunge la kumpongeza Spika wa Bunge, Job Ndugai kutokana na mafanikio ya Bunge la 11, ambayo ni pamoja na bunge mtandao, ujenzi wa kumbi za mikutano na miundombinu, kulinda hadhi na heshima ya bunge.

Lisome azimio hilo hapa chini;

Send this to a friend