Zuchu kuendelea kunogesha Promosheni ya Big Sale

0
72

Infinix ilizindua rasmi promosheni ya Big Sale Tarehe 11/06/2022 na promosheni hii itadumu kwa kipindi cha Mwezi Mmoja, Promosheni ya Big Sale inalenga kutoa punguzo la bei kwa simu za Infinix, kuzawadia wateja wa Infinix NOTE 12/NOTE 12 pro na NOTE 12 VIP package ya zawadi za thamani ya Shilling 200,000 lakini pia kwa mashabiki wa Zuchu na Infinix kupata nafasi yakupiga story mbili tatu na kinara huyu wa tasnia ya bongo fleva anaetikisa kwa sasa nchini Tanzania almaarufu Zuchu.

Infinix Brand ambassador Zuchu aliwahudumia wateja wa Infinix wiki iliyopita Jumamosi na kuwapatia zawadi mbali mbali ikiwemo kupiga picha na kuwapa wateja nafasi ya kupata chakula pamoja, lakini pia shabiki mmoja aliyeonyesha uhodari wa kuimba Zuchu alimtunza pesa za Kitanzania zaidi ya Sh.350,000 za Kitanzania. Zuchu anakuwa chaguo sahihi kwa Infinix kutokana na namna anavyoweza kuwasilisha maisha ya ‘ki VIP.

Ambapo aliuliza swali kuhusiana na simu ya Infinix NOTE 12 VIP, Simu yenye uwezo mkuwa wa kuchaji simu ndani ya dakika 17 kwa teknolojia yake ya 120W fast charging, 108MP camera, 120Hz refresh rate pamoja na sifa nyingine nyingi, na mteja mmoja akajibu kwa usahihi na baada ya hapo Zuchu akam-suprise kwa kumpatia nafasi ya mwaliko kupata chakula pamoja.

Kwenye duka la Infinix Smart Hub Mlimani City, wateja wote siku hii walipata huduma ya ki-VIP kutoka kwa msanii maarufu kutoka WCB na ambassador wetu Zuchu pamoja na kuwa kabidhi zawadi mbali mbali wateja wetu.

Kama ulipitwa na Big Sale hii basi endelea kujiweka karibu na ukurasa wa  @infinixmobiletz kupata taarifa zaidi na taarifa Zaidi na lini tena Zuchu atatembelea maduka hayo ya Infinix.